Friday, 28 March

Ads Right Header

Buy template blogger

MGUMBA-ATEKELEZA AHADI YAKE NYUMBA ZA IBADA,KIKOBA

MGUMBA-ATEKELEZA AHADI YAKE NYUMBA ZA IBADA,KIKOBA

Kikundi cha Hekima kikipokea bati kutoka kwa naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba
Mwakilishi wa Kanisa la KKKT jimbo la Ngerengere akipokea fedha zilizoahidiwa hivi karibuni kwaajili ya ujenzi wa kanisa kutoka Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki.
Viongozi wa msikiti wa Ngerengere wakipokea Bati 40 Kutoka kwa Naibu waziri wa Kilimo Omary Mgumba.

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4