Wednesday, 19 March

Ads Right Header

Buy template blogger

MLINZI WA ZAMANI WA BABA WA TAIFA ALOYCE TENDEWA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KILOMBERO

MLINZI WA ZAMANI WA BABA WA TAIFA ALOYCE TENDEWA ACHUKUA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KILOMBERO
 Mlinzi wa zamani wa Baba wa Taifa (aliyemfia hospitali London) ambaye pia alikuwa mlinzi mkuu wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa pamoja na viongozi wengine wakuu wa nchi jirani,Aloyce Tendewa amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Kilombero kwa tiketi ya CCM

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4