Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Rais Magufuli aongoza Watanzania kuuaga mwili wa Hayati Benjamin William Mkapa Jijini Dar leo.

Rais Magufuli aongoza Watanzania kuuaga mwili wa Hayati Benjamin William Mkapa Jijini Dar leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifuta machozi wakati akielezea namna alivyomjua Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa wakati akihutubia katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4