Stamico yawakivutio katika maonesho ya sabasaba.
Stamico yawakivutio katika maonesho ya sabasaba.
Kaimu Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse akipata maelezo kwa wafanyakazi wa shirika hilo namna wanavyotoa huduma kwa wananchi katika Maonesho biashara kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugezi Mtendaji wa Shirika la Taifa la Madini (STAMICO) Dkt. Venance Mwasse akizungumza na wafanyakazi wa shirika Hilo kuhusiana na kutoa elimu kwa wananchi kujua shirika hilo namna wanavyoweza kutumia fursa katika uchimbaji wa madini katika kufuafa taratibu wakati alipotembelea banda la Stamico katika maonesho ya sabasaba yanayofanyika katika viwanja Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mtaalam wa kuchakata madini ya Metal Sikini Nyakisinda akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Stamico katika maonesho sabasaba yanatofanyika viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mchakataji wa Madini wa Stamico Denis Silas akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Stamico katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment