TARIMBA AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
TARIMBA AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Aliyekua Diwani wa Kata ya Hananasif, Abbas Tarimba amefika katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombes Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia chama hicho.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment