Vodacom Tanzania Foundation yatoa zawadi kwa washindi wa mashindano ya Kitaifa ya teknolojia na Ubunifu (MAKISATU 2020)
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha (kushoto) wakati wa hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu iliyofanyika jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo .
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua akizungumza kwenye hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo uapnde wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari.
Meneja Mauzo Vodacom Kanda ya Kati ,Grace Chambua (kulia)akiwa na Naibu Waziri Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia ,William Ole Nasha (kushoto) pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Profesa James Mdoe walipokuwa kwenye hafala fupi ya kutoa zawadi kwa washindi wa shindano la teknolojia na ubunifu lililofanyika machi mwaka huu na zawadi zake kukabidhiwa jana Jijini Dodoma,Vodacom ilitoa sh milioni 20 kwa washindi wa shindano hilo uapnde wa wabunifu wa Shule za Msingi na Sekondari.
Leave Comments
Post a Comment