WAJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM WAPITISHA KWA KAULI MOJA JINA LA DK.JOHN MAFUFULI KUGOMBEA TENA URAIS

Na Said Mwishehe,Michuzi TV
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Halnashauri Kuu ya Chama Cja Mapinduzi( CCM) wamelipitisha kwa kura 1,822 kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu wa 2020.
Akitanza matokeo hayo Spika wa Bunge Job Ndugai ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano huo, amesema wajumbe waliohudhuria ni 1822 na wote wamepiga kura na hakuna kura iliyoharibika hata moja.
"Hakuna kura iliyoharibika, kura halali ni 1,822 ,matokeo kura 1822 ambazo ni sawa na asilimia 100 za wajumbe wote wamepiga kura ya ndio,"amesema Spika Ndugai ambapo baada ya kutoa matokeo hayo shangwe,nderemo na vifijo vilitawala ndani ya ukimbi ambapo wana CCM wamekutana kwa kazi moja tu ya kupitisha jina la mgombea urais kwa ajili ya kupeperusha bendera ya Chama hicho kwenye uchaguzi huo.
Wakati kura zikipigwa na kisha kuhesabiwa Mwenyekiti wa CCM Taifa ambaye ndio mgombea Urais alikuwa amekaa kando ya kiti chake na hivyo Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk.Ali Mohamed Ali Shein ndio alikuwa akiongoza kikao hicho .Mara kadhaa Dk.Shein amemueleze Rais Magufuli
"Watanzania sore no mashahidi namna Rais Magufuli ambavyo ameiongoza nchi yetu kwa uadilifu mkubwa,ni mchapakazi hodari sana. Yeye hapendi kulaza kazi zake, anataka kuona anachokisimamia kinatekelezwa kwa haraka na leo hii tunashuhudia mambo makubwa yaliyofanyika,"amesema Dk.Shein.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment