Ads Right Header

Buy template blogger

BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO

BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO


 

KLABU ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi hicho.
Kocha huyo anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa amepewa dili la miaka miwili kuinoa Klabu ya Yanga.

Kwa mujibu wa Injinia Hers Said amesema kuwa wamefikia makubaliano ya kumpa kandarasi kocha huyo baada ya kamati kujadili na kupitia majina ambayo walikuwa nayo.

Amewahi kuwa bingwa wa Klabu bingwa wa Afrika akiifundisha TP Mazembe pia alikuwa akiinoa Klabu ya Polokwane City.


Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4