BREAKING:AZAM FC YAMALIZANA NA MAKOCHA WATATU
Makocha hao ambao wameongeza mkataba leo ni pamoja na Kocha Mkuu Aristica Cioaba, raia wa Romania.
Kocha Msaidizi, Bahati Vivier na Kocha wa Viungo, Costel Birsan, ambapo kila mmoja ameongeza mkataba wa mwaka mmoja.
Agosti 23, Azam FC waliwatambulisha wachezaji wake wapya pamoja na benchi la ufundi ambalo lilianza kazi kwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Namung FC.
Kwenye mchezo huo uliohudhiuriwa na mashabiki wengi, Azam FC ilishinda mabao 2-1, Uwanja wa Azam Complex.
Leave Comments
Post a Comment