JEMBE LINGINE LINALOTAJWA KUMALIZANA NA SIMBA HILI HAPA
CRISS Mugalu raia wa Congo anayekipiga ndani ya Klabu ya Power Dynamo ya Zambia inaelezwa kuwa amemalizana na Simba.
Mugalu anatajwa kumalizana na Simba kwa kumpa dili la miaka miwili ili aongeze nguvu Kwenye kikosi cha Simba ambacho kinanafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa.
Huenda akatambulishwa leo ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment