KUTOKA MATAANI KWETU WAHUSIKA HAMLIONI HILI
KUTOKA MATAANI KWETU WAHUSIKA HAMLIONI HILI
Mfanyabiashara wa Kuku akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya ya
walaji.Wananchi wanaaswa kutunza mazingira yao na kuwa safi kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na uchafu.
Muonekano wa mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam.
Mfanyabiashara wa Kuku akiendelea na biashara yake huku pembeni kukiwa na mtaro wa maji machafu katika eneo la Mbagala wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam,jambo ambalo ni hatari kwa afya yawalaji.Wananchi wanaaswa kutunza mazingira yao na kuwa safi kuepukana na magonjwa mbalimbali yanayoweza kusababishwa na uchafu.
Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Maandalizi ya biashara ndogondogo yakiendelea katika eneo la Mbagala Wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam, Kama inavyoonekana pichani.
Maandalizi ya biashara ndogondogo yakiendelea katika eneo la Mbagala Wilaya ya Temeke jijini Dar as Salaam, Kama inavyoonekana pichani.
(Picha zote na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)
Previous article
Next article





Leave Comments
Post a Comment