KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA ILALA
KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA ILALA
Bei ya Tango katika Soko Kuu la Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam yanauzwa kwa fungu moja lenye matango matatu kwash.1000.
Dagaa kutoka mkoa wa Kagera wakiwa katika soko Kuu la Kariakoo wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam wanauzwa kwa bei ya sh.6000hadi Sh.8000
kwa kilo moja Kama inavyoonekana pichani.
kwa kilo moja Kama inavyoonekana pichani.
Previous article
Next article



Leave Comments
Post a Comment