Ads Right Header

Buy template blogger

LIVE: NGAO YA JAMII, SIMBA 2-0 NAMUNGO

LIVE: NGAO YA JAMII, SIMBA 2-0 NAMUNGO

 


Dakika ya 60 Bernard Morrison anafunga bao la pili kwa pasi Clatous Chama 

Kipindi cha pili kimeanza

Mapumziko 
Dakika 2 zinaongezwa
Dakika ya 45 Namungo wanapata faulo baada ya Stephen Sey kuchezewa faulo na Kened Juma 
Dakika ya 42 Simba wanapata kona ya Kwanza haizai matunda
Dakika ya 38 Namungo inakosa nafasi ya wazi baada ya Simba kujichanganya ndani ya 18
Dakika ya 34 Simba wanapeleka mashambulizi Namungo FC 
Dakika ya 20 Morrison anampa pasi Chama ndani ya 18 inaokolewa na Nurdin Barola. 
Dakika ya 15 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 9 Namungo wanapiga faulo kuelekea Simba
Dakika ya 7 Bocco Goal kwa penalti 
Dk 4Bocco anakosa nafasi ndani ya 18

Ngao ya Jamii

Uwanja wa Sheikh Amri Abeid 

Simba v Namungo FC 

Kipindi cha kwanza

Simba 0-0

Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4