MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA
Mshambuliaji mghana, Michael Sarpong anatarajiwa kutua nchini Tanzania leo akitokea nchini Ghana kuja kumalizana na Klabu ya Yanga.
MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA
Kwa sasa Yanga inajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya pamoja na kuboresha mikataba ya wachezaji wake wa zamani ili kuzidi kuwa na kikosi imara kwa ajili ya msimu wa 2020/21.
Jana iliwashusha wachezaji wawili kutoka Congo ambao ni pamoja na Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko kwa dili la miaka miwili wote wametokea Klabu ya AS Vita.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment