Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

SEHEMU MUHIMU ZA KUJISUGUA WAKATI WA KUOGA, MWANAMKE



1) Usoni hapa ndo mapokezi lazima uso utiwe sababun kira asubuhi na jion pamoja na masikio lazima yasafishwe na sabun kira mda wa kuoga tena mpk ndani ya sikio.
2) Shingoni huwa tunapasahau utakuta mwanamk anatembea shingo inavuja taka tena nyeus mpk kinyaa
3) Makwapani mpk chni ya maziwa hakikisha unatia sabuni na kupasugua vizuri
4)Kitovu na mgongoni sehemu hizi wengi tunafel sana huwa tunazisahau, kitovu kinawek uchafu sana ila hautjui, mgongon huwa kinaweka michirizi ya uchafu
5)kuma na matakoni huku jamni ndo kira kitu tena km hakuja safishwa kuna nuka balaaa, kwenye pachpachu ya matako na mapaja muhimu kusafisha,
6) Kwenye miguu mpk kweny magaga, hapa huwa tunatia aibu sana mtu kapendeza lkn mguu mweusii..

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4