ULEGA AREJESHA FOMU NA AMETEULIWA RASMI KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKURANGA
ULEGA AREJESHA FOMU NA AMETEULIWA RASMI KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MKURANGA
Mgombea Ubunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kushoto) kwa tiketi ya CCM,akijadiliana jambo na viongozi wa CCM Wilaya ya Mkuranga mara baada ya kurejesha fomu.

(Piha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Mbunge jimbo la Mkuranga, Abdallah Hamisi Ulega (kulia) leo Agosti 25, 2020 akirudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga ambaye ndie msimamizi wa uchaguzi, Mhandisi Mshamu Munde.
Mgombea wa Ubunge jimbo la Mkuranga,Abdallah Hamisi Ulega akisaini fomu wakati wa kurudisha fomu za kuomba kuteuliwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkuranga,Mhandisi Mshamu Munde.
(Piha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment