CHEKI NA RATIBA YA LEO, SEPTEMBA 20, VPL,PREMIER,LA LIGA
LEO Jumapili kwenye ulimwengu wa michezo ratiba zinaendelea kama kawaida ambapo ligi mbalimbali zinaendelea kukinukisha.
Hizi hapa ni ratiba zao namna zilivyo tukianza na Bongo, Ligi Kuu Bara.
VPL leo
Mbeya City v Azam FC, majira ya saa 8:00 mchana, Uwanja wa Sokoine.
Coastal Union v Dodoma Jiji, Uwanja wa Mkwakwani, majira ya saa 10:00 jioni.
Simba v Biashara United, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Mkapa.
Premier
S.ampton v Spurs, majira ya saa 8:00 mchana.
Newcastle v Brighton, majira ya saa 10:00 jioni.
Chelsea v Liverpool, saa 12:30.
Leicester v Burnley, saa 3:00 usiku.
Bundesliga
RB Leipzig v Mainz, saa 10:30 jioni.
Wolfsburg v Leverkusen, saa 1:00 usiku.
Serie A
Parma v Napoli, saa 7:30, mchana.
Genoa v Crotone saa 10:00 jioni.
Sassuolo v Cagliari, saa 1:00 usiku.
Juventus v Sampdoria, saa 3:45, usiku.
Ligue 1
Nice v PSG, saa 8:00 mchana.
Brest v Lorient, saa 10:00 jioni.
Metz v Reims, saa 10:00 jioni.
Montpellier v Angers saa 10:00 jioni.
Strasbourg v Dijon FCO, saa 10:00 jioni.
Nantes v S,Ettienne, saa 12:00 jioni.
Marseille v Lille, saa 4:00 usiku.
La Liga
Huesca v Cadiz, saa 11:00 jioni.
Granada v Alaves saa 1:30, usiku.
Sociedad v Madrid, saa 4:00 usiku.
Leave Comments
Post a Comment