Ads Right Header

Buy template blogger

DKT. MAGUFULI AWASILI UWANJA WA LAKE TANGANYIKA KIGOMA

DKT. MAGUFULI AWASILI UWANJA WA LAKE TANGANYIKA KIGOMA
MGOMBEA Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Kigoma katika Mkutano wa Kampeni za CCM leo tarehe 18 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi mara baada ya kuwasili katika  Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Kigoma.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4