HIZI HAPA MECHI ZA YANGA NDANI YA LIGI KWA MWEZI SEPTEMBA
MECHI za Klabu ya Yanga ndani ya mwezi Septemba zipo namna hii:-
Yanga v Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, Septemba 6.
Yanga v Mbeya City, Uwanja wa Mkapa, Septemba 13.
Kagera Sugar v Yanga, Uwanja wa Kaitaba, Septemba 19.
Mtibwa Sugar v Yanga, Septemba 27.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment