Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

MGOMBEA MWENZA WA CCM MAMA SAMIA AKISZLIIANA NA WANANCHI KIJIJI CHA VIKINDU

MGOMBEA MWENZA WA CCM MAMA SAMIA AKISZLIIANA NA WANANCHI KIJIJI CHA VIKINDU


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa kijiji cha Vikindu Wilaya ya Mkuranga alipokuwa njiani akielekea Mkuranga kwenye Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 07,2020. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4