MOTO WA LIGI KUU ENGLAND UNAWAKA NAMNA HII
MOTO WA LIGI KUU ENGLAND UNAWAKA NAMNA HII
LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kinaanza rasmi kutimua vumbi.
LEO, Septemba 12 kivumbi cha Ligi Kuu England kinaanza rasmi kutimua vumbi.
Bingwa mtetezi ni Liverpool inayonolewa na Jurgen Klopp ina kazi ya kuanza kusaka pointi tatu muhimu.
Ratiba ya leo ipo namna hii:-
Fulham v Arsenal, saa 8:30 mchana.
Crystal Palace v Southampton, saa 11:00 jioni.
West Ham United v Newcastle United, saa 11:00 jioni.
Liverpool v Leeds United, saa 1:30 Usiku.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment