RATIBA YA LEO LIGI KUU BARA HII HAPA
LEO Septemba 27 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti namna hii:-
Ruvu Shooting v Biashara United Uwanja wa Uhuru.
Mtibwa Sugar v Yanga, Uwanja wa Jamhuri.
Mwadui V Ihefu, Uwanja wa Mwadui Complex.
Previous article
Leave Comments
Post a Comment