JPM AKIOMBEWA SALA YA HERI JIJINI MBEYA
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Sala ya heri katika Majukumu yake na Masista wa Kanisa Katoliki jijini Mbeya jana mara baada ya kuwahutubia Maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mbeya
Leave Comments
Post a Comment