KUMEKUCHA BONGO,BAADA UA YANGA KUTIMUA KOCHA MWINGINE APIGWA CHINI
UONGOZI wa Klabu ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya, leo Oktoba 6 imetangaza kusitiksha mkataba wa aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Maka Mwalwisi.
Taarifa rasmi iliyotolewa na Uongozi wa Ihefu haijaeleza sababu za kuachana na kocha huyo.
Anakuwa ni Kocha wa pili kufutwa kazi ndani ya Oktoba baada ya Yanga kuanza kufanya hivyo Oktoba 3 kwa kumfuta kazi Zlatko Krmpotic.
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment