MAKOCHA HAWA WANNE WANAWANIA MIKOBA YA ZLATKO KRMPOTIC WA YANGA
Haya hapa majina yanayotajwa kuwa kwenye hesabu za Yanga kupokea mikoba ya Mserbia, Zlatko Krmpotic aliyefutwa kazi mazima Oktoba 3:-
1.Cedric Kaze raia wa Burundi, ana leseni ya CAF, amewahi kuinoa timu ya Taifa ya Burundi, amefundisha Atletico Olimpic.
2.Geoge Lwandamina wa Zambia ana itambua falsafa ya Yanga aliwahi kuifundisha na kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu wa 2016/17.
3.Ersnt Middenorp raia wa Ujerumani ana uzoefu na soka la Afrika kwa kuwa alikuwa anainoa Kaizer Chief ya Afrika Kusini.
4. Hans Pluijm, ana uzoefu na soka la Afrika aliwahi kuifundisha Yanga.
Previous article
Leave Comments
Post a Comment