Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

PICHA ZA MATUKIO-SONGEA

PICHA ZA MATUKIO-SONGEA
Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema, akimkabidhi
mkazi wa mtaa wa Bombambili katika Manispaa ya Songea Frowin Fungo
ambaye ni mlemavu wa miguu fedha taslimu shilingi laki 1 ili ziweze
kumsaidia kuongeza mtaji katika shughuli zake za kushona viatu ambapo
pia alimpa Baiskeli ya magurudumu matatu ambayo itamwezesha kutoka
nyumbani na kwenda katika shughuli zake.

Mkuu wa wilaya ya Songea Pololet Kamando Mgema kushoto
akimsikiliza mkazi wa kijiji cha Mpitimbi Aron Ponera
anayejishughulisha na kilimo baada ya kumpa baiskeli ya magurudumu
matatu itakayomwezesha kwenda na kurudi shambani,
Ponera licha ya ulemavu wake lakini amekuwa akijishughulisha na kilimo
kwa ajili ya familia.(Picha zote na Muhidin Amri)

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4