Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

TANZIA: GOSBERT MUTAGAYWA AFARIKI DUNIA

TANZIA: GOSBERT MUTAGAYWA AFARIKI DUNIA

Georgia Mutagaywa wa Mbezi Beach  anasikitika katangaza kifo cha kaka yake mpendwa - Gosbert Mutagaywa -  kilichotokea jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa Baba wa Marehemu kijijini Muhutwe, Muleba Kaskazini. Habari ziwafikie ndugu na marafiki wote wa Marehemu Gosbert. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4