Tuesday, 18 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Vodacom Tanzania PLC yasherehekea miaka 20 ya kutoa huduma nchini

Vodacom Tanzania PLC yasherehekea miaka 20 ya kutoa huduma nchini

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (wa pili kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kulia), Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications (MCL), Bakari Machumu(wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa kampuni hiyo, wawakilishi wa TBC, Angela Mang’enya na Gloria Michael wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania jana.  Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto) na kulia ni Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi(wa pili kushoto) akimkabidhi Tuzo za kutambua mchango wa Tasnia ya habari kwa kampuni hiyo, mwakilishi wa Gazeti la The Guardian, Frank Monyo   wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania.  Wengine ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia (kushoto) na Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa.

Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom, Linda Riwa akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania  leo

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akizungumzia safari ya Vodacom toka kuanzishwa kwake nchini kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania leo

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua  maadhimisho ya miaka 20 ya Vodacom Tanzania  leo

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4