Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Aunt Ezekiel Amfuata Wema Sepetu Mahakamani




Msanii wa filamu nchini Aunt Ezekiel ambaye ni rafiki wa karibu na Wema Sepetu ameonekana Mahakamani leo June 24,2019 baada ya Wema kurudishiwa dhamana yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Wema Sepetu ambaye amesota gerezani kwa siku 7 kutokana na kukiuka masharti ya dhamana, Mahakama imemuonya msanii huyo endapo akirudia kukiuka masharti ya dhamana haitasita kumfutia kabisa dhamana hiyo.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4