Mahusiano
CHUMBANI..
KUWA NA UTARATIBU ULEULE MIAKA NENDA RUDI.
Kwa kuwa unajua nini hufanyika ukiingia chumbani na mke/mume wako, hivyo unavua nguo zako na zake, unamvuta kwani anajua ukimvuta kwa mtindo huo nini unataka naye anakuacha uendelee, nawe unachukua kiungo A na kuiingiza kwenye kiungo B, unafanya kile unachokijua, baada ya dakika 5 zoezi limeisha, unageuka unalala, hoi folilo!
Unaonaje hapo?
Hapa haijalishi hili tendo ni tamu kiasi gani, unaburudika kwa raha kiasi gani, unapiga kelele za raha kiasi gani, ni dhahiri ya kuwa miaka kadhaa hili zoezi litakuwa nadra sana kufanyika na ikifanyika lazima mmoja atajisikia boadi.
Kuwa na utaratibu unaofanana kila siku kila mwezi na kila mwaka huhatarisha mahusiano ya kimapenzi kwa mke na mume.
Njia nzuri ya kulinda upendo na muunganiko wa thamani kati ya mke na mume katika mapenzi ni kuwa na kitu kipya baada ya muda fulani hata kubadilisha mazingira tu acha skills.
Ukweli kukiwa na hatua mpya na mbinu mtafurahia sana kuwa mwili mmoja kwani mtakuwa moto, na mtahitajiana mara kwa mara na zaidi.
*
Kuogopa kuongelea au kujaribu vitu vipya wakati wa kuwa mwili mmmoja ni Tatizo.
Je, umewahi kuwa na wazo zuri au jipya la kutaka kuongeza ladha mpya chumbani ukiwa na mke au mume wako na unashindwa uanze vipi au hujui mwenzi wako atalipokea vipi?
Au unaogopa atakuuliza ulijifunza wapi? Au akaenda mbali zaidi kwa kukuuliza nani amekufundisha?
Ukweli ni kwamba kuna asilimia 90 mpenzi wako atapenda kusikia na pia atashirikiana na wewe kujifunza hizo mbinu mpya muhimu tumia hekima na busara kuwakilisha mawazo yako na kila kitu kitakuwa shwari huko chumbani.
Pia ni dalili kwamba mnaogopana na zaid hampo wazi sana kuongea mambo yenu ya ndani ambayo ni muhimu na yanaweza kuwaweka karibu zaidi.
Jiamini na ongea kile unapenda kwa nini ujinyime raha?
*
Kujaribu kumlazimisha mume/mke wako tendo la ndoa.
Kama mke au mume amechoka au hana mood haina haja kuanza kumlazimisha afanye;
Wakati mke au mume anasisimka mwili humwaga kemikali za adrenaline ambazo husaidia kuupa mwili nguvu ya tendo zima la ndoa hivyo kama amechoka anaweza asisisimke vya kutosha na maana yake atakuwa hana nguvu za kujirusha sawasawa at the maximum ili kuleta matokeo mazuri.
Ikiwezekana kama wewe ni mwanamke na mume usiku amegoma kwa kuwa amechoka (kwani huwezi kuisimamisha tulia hadi ubongo wake uamue) usijali subiri hadi asubuhi kabla hajaamka kwani kiwango cha testosterone huwa juu kuliko wakati wote hivyo utamfaidi tu na hana ujanja kutulia itakuwa imesimama na ipo tayaritayari, usifanye kosa tumia busara.
Kama wewe ni mwanaume na mke anasema amechoka kitu cha kwanza ni kutengeneza mood yake ili awe katika hali ya kuwa relaxed, maneno matamu, ongea kile huwa anapenda kusikia, ni vizuri mwanaume kujua nini humfanya ajisikie kunyegeka na kuwa excited hata kama utatumia nusu saa kwani si una mission?
Tumia ujuzi wako wote.
Itafika mahali atajieleza mwenyewe kwa jinsi unavyomwona ila ukishindwa kamwe usimlazimishe na pia usifanye kwa kuwa amesema yupo tayari ni muhimu kufahamu kwamba kukubali kwake ni ni sababu anapenda na siyo ili yaishe utaishia kuulizwa “hujamaliza?”
*
Kuacha au kukwepa kipengele cha kuandaana
kabla ya tendo la ndoa.
Wanandoa wengi (hasa wanaume) hupenda kukwepa kumuandaa mke ili kuwahi kufaidi kitu chenyewe hata hivyo kumuandaa mke humpa faida hata mume mwenyewe.
Kwa kubusu, kumshikashika na mengine yote huweza kusababisha mke kujisikia ameridhika na atajisikia humtumii kwa tamaa zako.
Hivyo kuwa mpole, chukua muda!
Lazima mwanaume uwe playful na usiwe na mikono mwepesi bali mikono slow.
*
Kutumia mikanda ya video za Mapenzi kuimarisha utendaji wa mpenzi.
Wakati maisha ya ndoa yamefikia hali mbaya wapo wanandoa ambao huamua kutumia video Mapenzi kujifunza wakidhania maisha yao ya mapenzi yanaweza kuwa kiwango cha juu kiasi cha kufika kwenye paa.
Ni kosa kubwa,
Kutumia chanzo cha nje huweza haraka sana kuharibu kuliko kutengeneza au kusaidia.
Ndoa ni mke na Mume pamoja na Mungu mwenye kupokea utukufu unaotokana na uumbaji wake kwa hao wawili.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment