Mahusiano
Kama unajiona upo beautiful hongera mikono juu kabisa, na kama huridhiki pole hujiamini.Mwanaume huweza kusimamisha mashine kila dakika 15 akiwa amelala usiku na mwanamke huweza kutoa majimaji kwenye K yake kila dakika 15 akiwa amelala.
Binadamu ni wanyama pekee ambao hamu ya kufanya mapenzi au kufanya mapenzi si kwa ajili ya kuzaliana tu bali kupeana raha ya kimahaba.
Pia kis..mi ni kiungo pekee katika mwili wa mwanamke kipo kwa ajili ya kumpa raha ya mapenzi, hakuna kazi nyingine ni hiyo tu.
Raha ya Tendo kwa mwanamke si katika K tu kama alivyo mwanaume kwa Mashine yake bali ni zaidi ya hapo yaani mwili mzima.
Data zinaonesha kwamba wanawake ambao wamepatwa na matatizo ya uti wa mgongo na hawawezi kuhisi kitu chochote kuanzia kwenye kiuno kushuka chini lakini bado wana uwezo wa kufika kileleni.
Sababu kubwa ni kwamba ubongo hupokea hisia (feelings) za kusisimuliwa kimapenzi kupitia njia zingine nje ya uti wa mgongo hasa mwanamke anapochezewa maziwa au kumbusu nk.
Hii ina maana mwanamke mwili mzima ni tofauti na wanaume wanaowaza kwamba ili mwanamke afurahie mapenzi ni lazima uhakikishe unachimba vizuri kule bondeni.
Uangavu wa mapenzi katika si mara ngapi mnafanya kwa siku au kwa wiki au kwa mwezi au kwa mwaka bali ni kuridhishana au kuridhika kwa wahusika kutokana na tendo lenyewe.
Jamii inawadanganya wanawake kwamba wakiwa na sura fulani, au uzito fulani watakuwa wazuri katika mapenzi.
Thubutu, Mwanamke yeyote akiwa mtupu mwanaume yeyote humuona ni mrembo na huchanganyikiwa kabisa.
Haina haja kuzima taa au kutaka giza eti kwa kuwa maziwa yako ni makubwa mno au madogo sana, au mwili umenenepa sana au mwembamba sana, au ngozi upo tofauti na unavyodhani.
Ukiwa mtupu tu mwanaume hukuona bonge na beautiful.
Pia jamii inapotoshwa kwamba kitendo cha mwanaume kusugua K kwa kuingiza na kutoka kwa kutumia Mashine yake kwa kila aina za style ni tendo linalompa mwanamke raha ya mapenzi.
Ukweli si wanawake wote hufikishwa kileleni kwa kutumia Mashine kuwa ndani ya K tu bali kwa mwili mzima na pia kuandaliwa kwa muda unaotakiwa.
Jamii imezungukwa na tamaduni zinazofanya mwanamke kujiona akiwa na shape Fulani au size Fulani ndipo atafurahia Tendo la ndoa, kitu ambacho ni kweli kwani ili mwanamke afurahie Tendo kwanza lazima ajifahamu mwenyewe na kuufurahia mwili wake kama ulivyo kujiamini kuhusu body image yake.
Kuna asilimia zaidi ya 50 ya wanawake huwadanganya waume zao kwamba wamefika kileleni kitu ambacho si kweli ili mambo yaishe.
Kwa nini wanadanganya?
kwa sababu wanaume wengi huwa hawawaandai vizuri so anaona afadhari aone amefikishwa maana lengo la wanaume wengi huwa kumfikisha mwanamke kileleni na si kumpa raha ya mapenzi.
Ebu Jiamini na jikubali

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment