Monday, 17 March

Ads Right Header

Buy template blogger

KILA BINADAMU ANA MAPUNGUFU NA YABIDI TUKUBALIANE NA HILO

Image result for picha Za Uchi gigy money

Ni kweli kila binadamu anakosea na tunapaswa kusameheana,,ni lazima tukubali kuwa sisi sote tuna mapungufu na yabidi kila mmoja akubaliane na hilo,,,kusamehe ni kuonyesha kuwa moyoni una utu na unatambua mapungufu ya mwenzako,,ila upande wa pili ni kujua kwamba aliyekusamehe ana upendo wa dhati kwako ila maana kubwa kabisa ya kusamehe ni kutokurudia kosa tena na uheshimu hisia zake wakati wote,,,, sasa ukiendelea kukosea mara kwa mara basi msamaha na uvumilivu vina vipimo vyake,, ipo siku atachoka na hawezi kukusamehe tena,,hata akikusamehe ataacha uendelee na maisha yako na usiwe tena sehemu ya maisha yake.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4