Simulizi

TANGA RAHA 07
(Return Of Olivia Hitler)
SIMULIZI MPYA: TANGA RAHA 07 & 08 (Return Of Olivia Hitler)

TANGA RAHA 07
(Return Of Olivia Hitler)
Muandishi………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(Genius Author)
ILIPOISHIA
“Jabza mama? Ni nini kibaya tumekifanya kwa baba hadi atuite sisi panya mara hoo atatufukuza ni nini mama? Kuhoji kwetu kume kuwa ni tatizo. Tazama hadi wewe mke wake wa ndoa ana kuzalilisha mbele yetu ni haki kweli. Au kisa yeye ni mwanaume basi kila anacho kizungumza ndio kionekane sawa mbele za wengine hata kama kina umiza moyo eheee?”
“Nalitambua hilo mwanangu. Ila baba yenu ana hasira, toka akutane na Olvia Hitler kichwa chake hakipo sawa. Mueleweni basi wanangu”
“Sina haja ya kumuelewa mtu kama huyo mama. Acha niondoke zangu”
“Hakuna kwenda sehemu yoyote na ukifanya hiyo. Nitakuua kwa mikono yangu mimi mwenyewe.”
Sauti ya Eddy ikawastua watu wote ndani ya chumba hicho. Woga ukawatawala mara dufu baada ya kumuona Eddy akiwa ameshika bastola na taratibu akamnyooshea Xaviela sehemu alipo simama.

ENDELEA
Kwa haraka Rahma akasimama mbele ya Xaviela huku machozi yakimtiririka.
“Eddy mume wangu umefika mbali. Una fanya kitu gani, unataka kumuuwa mwanao wewe mwenyewe? Kumbuka ni shida ngapi tumepitia kuwatunza watoto hawa mume wangu”
Rahma alizungumza kwa msisitizo huku akiendelea kumkinga Xaviela hata kama risasi ikitoka basi yeye awe wa kwanza kupigwa kwa risasi hiyo.
“Baba unafanya nini?”
Xaviena alizungumza huku naye akisimama mbele ya baba yake.
“Nimesema hakuna mtu yoyote kutoka humu ndani na hakuna mtu yoyote kwenda kuonana na Olvia Hitler. Maisha yangu yote ya ujana nimekuwa ni mtu ninaye pitia tabu na mateso kwa ajili yake. Nyinyi nanyi munataka kunirudisha kule eheee?”
“I promise you dady. Hatuto onana na Olvia tena”
Xaviena alizungumza kwa upole huku akiendelea kulia. Eddy akamtazama Xaviena kwa muda kisha akashusha bastola yake. Akatoka ndani humo na kurudi chumbani kwake huku akiwa kama mtu aliye changanyikiwa. Xaviela akajikuta akikaa chini kwa kuishiwa nguvu, hakuamini kama ipo siku baba yake atamshikia bastola. Milio ya risasi ikawastua wote, wakatoka chumbani mwao na kukimbilia chumbani kwa Eddy. Wakamkuta Eddy akiwa ameshika bastola yake huku mwili mzima ukimvuja jasho. Tv kubwa iliyomo ndani humo imepasuka kwa kupigwa risasi na Eddy.
Rahma kwa ishara akawazuia wanae hao wasimsogelee baba yao. Taratibu Rahma akamsogelea Eddy na kumkumbatia kwa nyuma.
“Mume wangu. Natambua ni jinsi gani unavyo pitia mateso ya kumuona Olvia kwenye maisha yako. Tambua kwamba nipo pamoja na wewe mume wangu. Toka nilipo kuwa mwanafunzi wako, sikuwahi kukuacha mume wangu. Nina kupenda sana”
Rahma alizungumza kwa sauti laini iliyo jaa mahaba.
“Hakika nitahakikisha tuna tafuta njia ya kumuangusha Olvia kwa mara nyingine.”
“Kweli mke wangu?”
“Ndio mume wangu, niamini mimi”
Taratibu Rahma akazunguka na kumkumbatia Eddy kwa mbele. Akaanza kumnyonya denda mume wake huku akiupeleka mkono wake wa kulia katika mkono wa Eddy ulio ishika bastola hiyo. Akaichukua bastola hiyo na kuirushia chini ya uvungu wa kitanda. Eddy akamnyanyua Rahma na kumlaza kitandai. Xaviela na Xaviena wakatoka chumbani humo huku wakitambua kitu kitakacho endelea kwa wazazi wake ni kipi. Eddy akalipandisha juu gauni la kulalia la Rahma, akaivua pensi yake na taratibu akamuingiza jogoo wake katika kitumbua cha Rahma na akaanza kuburudika na utamu wa mke.
“Nakupenda sana mume wangu”
Rahma alilalama huku akisikilizia utamu wa mume wake.
“Kweli mke wangu”
“Ndio mume wangu. Wewe ndio mwanaume wa maisha yangu yote”
Rahma aliendelea kulalama kimahaba.
***
“Utaondoka?”
Xaviena alimuuliza dada yake huku akimtazama usoni mwake. Xaviela akashusha pumzi huku akiwa amejiinamia chini.
“Hapana, ila nitahitaji kuonana na Olvia.
“Wewe huogopi baba alichokisema?”
“Ngoja nikuambie kitu kimoja Xaviena. Mimi sina woga wa ajabu. Nikihitaji kufahamu ukweli wa jambo fulani ni lazima nihakikishe kwamba nina fanikiwa katika kuutafuta ukweli. Hivyo hichi ninacho kifanya ni kwa ajili ya kufahamu ukweli gani unaendelea kwa hawa watu watatu.”
Xaviela alizungumza huku akivua nguo zake, akavaa suruali na tisheti. Akazibana kwa nyuma nywele zake ndefu ambazo wamerithi kwa mama yao.
“Unataka kwenda sasa hivi?”
“Ndio, kwa nini nikae hapa ikiwa bado moyo wangu haujaridhika”
“Sasa huyo Olvia utampatia wapi?”
“Nitajua pa kumpata”
“Ngoja nina namba yake”
Xaviena alizungumza huku akiitafuta simu yake. Akaipata na kumtajia dada yake namba hizo.
“Ila kuwa makini na hakikisha una nifahamisha kila kitu ambacho Olvia atakuambia”
“Sawa”
Xaviela akachukua funguo ya gari lake na kutoka chumbani humo. Akaondoka nyumbani kwao pasipo wazazi wake kufahamu. Xaviela akampigia Olvia simu na kwa bahati nzuri namba hiyo inapatikana hewani.
“Haloo”
“Haloo Olvia”
“Mambo vipi Xaviela”
“Mmm umejuaje kama mimi ndio ninaye kupigia?”
“Sauti zenu zina tofautiana kidogo sana.”
“Kweli?”
“Ndio, ila ni lazima mtu awe amesha kaa na nyinyi ndio anaweza kufahamu utofauti huo”
“Sawa, samahani kwa kukupigia nina imani kwamba utakuwa na kazi nyingi sana”
“Hapana, kuwa huru muda wowote kunipigia”
“Sawa, ninaweza kuonana na wewe muda huu?”
“Ndio, nipo Kange kwenye hoteli yangu ya O 5 Star”
“Hiyo kumbe ni hoteli yako?”
“Ndio hoteli zote za O 5 star ni zangu”
“Basi nina kuja muda huu nakuomba uweze kunisibiria”
“Karibu”
Xaviela akajawa na furaha kwa kupata mualiko huo. Akafika hotelini hapo, akapokelewa na sekretari wa Olvia Hiter na moja kwa moja akapelekewa ofisini kwa Olvia Hitler.
“Karibu sana Xaviela”
Olvia Hitler alizungumza kwa furaha.
“Asante. Ofisi yako ni nzuri sana”
“Hahaa nashukuru, karibu ukae”
“Asante”
“Vipi baba, mama na mdogo wako wana endeleaje?”
“Wanaendelea vizuri”
“Kweli?”
“Yaa wana endelea vizuri”
“Nafurahi kusikia hivyo.”
“Olvia nimekuja hapa kwa ajili ya maswali kadhaa ambayo kidogo yana nitatiza”
“Sawa kuwa huru niulize chochote nitakujibu”
“Wewe na baba yangu mume fahamiana vipi?”
Olvia Hitler akatabasamu kidogo huku akimtazama Xaviela.
“Mimi na baba yako tulikuwa na mahusiano ya kimapenzi”
“Ohoo ehee ikawaje hadi akawa na mama?”
“Kipindi mahusiano yetu yana anza , tayari alisha kuwa na mama yako. Kipindi hicho baba yako alikuwa ni mwalimu wa shule ya sekondari”
“Mwalimu!!?”
“Ndio, kwani hajawasimulia?”
“Hapana”
“Tena mama yako alikuwa ni mwanafunzi wake.”
“Unataka kuniambia kwamba baba amemfundisha mama?”
“Ndio amemfundisha mama yako. Basi nilimpenda sana baba yako ila kutokana alisha kuwa na mahusiano na mama yako, sikuwa na jinsi zaidi ya kuendelea kuwa na mahusiano naye ya siri siri”
“Hukuwa na wivu?”
“Wivu nilazima. Hata mama yako pia alipo kuja kugundua kwamba nina mahusiano na baba yako naye alitawaliwana wivu, hapo ndipo vita ilipo anza. Mama yako alihiyaji kuniua ila kutokana baba yako alimpenda sana mama yako, aliamua kuungana na mama yako kwa ajili ya kunia”
Olvia alizungumza huku akimtazama Xaviela anaye onekana kuamini kila anacho ambiwa.
“Ngoja kwanza, baba leo ametuambia kwamba wewe ni jini ni kweli?”
“Hahaa kabla ya kukujibu Xaviela hilo swali. Je wewe una amini kwamba mimi ni jini?”
“Hapana, kwa maana ninavyo sikia kwamba majini huwa na sura mbaya na wana tisha.”
“Basi baba yenu alikosa sababu ya kuwaambia. Ila ukweli ni kwamba baba yako alihitaji kunia na miaka kumi na tisa iliyo pita ana amini kwamba nime kufa. Ila ukweli ni kwamba sikufa, nilifanikiwa kutoka kwenye kifo na hata juzi tulipo kaa meza moja, alihisi kwamba nime kuja kumlipizia kisasi ila sina lengo hilo”
“Sasa naanza kupata picha”
“Picha gani?”
“Baba yangu ana roho ya uuaji”
“Kwa nini una sema hivyo?”
“Kama alijaribu kukuaa wewe, hata leo hii asubuhi amenishikia bastola na kutaka kuniua”
“Weeee!!”
“Haki ya Mungu vile, laiti ingekuwa si mama kusimama mbele yangu basi angeniua kisa ni kuhitaji kufahamu ukweli juu ya kinacho endelea kati yenu nyinyi watu watatu.”
“Eddy sasa ana kwenda mbali. Anataka kuiangamiza damu yake yeye mwenyewe. Hakika damu za watu alio waua huko nyuma sasa haya ndio malipo yake”
“Una maanisha nini damu za watu alio waua huko nyuma?”
“Baba yako kwenye mapambano ya kutaka kuniua mimi kuna watu wengi sana aliweza kuwaua huko nyuma ndio maana amekuwa ni mtu mwenye roho ya ukatili. Unajua alimuua hadi babu yenu mzaa mama”
“Babu yetu mzaa mama alimuua pia!!?”
“Ndio, usione baba yenu yupo vile ila kuna mambo mengi sana ame yafanya huyo nyuma hadi kuwa pale. Kwa akili yako ya kawaida, hivi mwalimu wa shule ya sekondari ana weza kuwa na pesa nyingi kama anazo zimiliki baba yenu?”
Xaviela akachanangaua akilini mwake na jibu alilo lipata ni haiwezekani kwa mwalimu kuwa na utajiri mkubwa sana kama wa baba yake”
“Sasa mutazidi kuyaona mabaya yake. Jambo la msingi ishini na baba yenu kwa akili sana”
Xaviela taratibu akazidi kujawa na roho ya kumchukia baba yake.
“Na baba yako anataka kuwa mbunge kwa ajili ya kuhakikisha kwamba ana tumia nguvu ya serikali kuhakikisha ana nidhohofisha kiuchumi”
“Mmmmm!!!”
“Ila tafadhali usije ukamueleza chochote baba yako kuhusiana na kukutana kwetu. Kama alikushikia bastola kwa kumuuliza tu, basi ata kuua ukimuambia tume kutana”
“Nimekuelewa acha niende”
Xaviela alizungumza huku moyoni mwake akiwa amejawa na hasira kali sana. Akaagana na Olvia Hitler na kunza safari ya kurudi nyumbani kwao. Kitu ambacho siku zote Xaviela hakiwezi ni kutunza jambo linalo muumiza moyoni mwake. Akafika nyumbani kwao na kuwakuta wazazi wake sebleni wakizungumza na Xaviena.
“Umetoka wapi?”
Rahma alimuuliza Xaviela aliye ingia sebleni hapo huku uso wake ukiwa umejawa na hasira kali sana.
“Si unaulizwa na mama yako. Umetoka wapi?”
“Usijali kuhusiana na wapi nilipo toka ila nahitaji unijibu maswali yangu”
“Maswala ya maswali leo siyahitaji, tafadhali”
Eddy alizungumza huku akimkazia macho Xaviela aliye fura kwa hasira.
“Usipo hitaji kunijibu maswali yangu basi leo hii uhusiano wa baba na mwana utavunjika na utasahau kama ulisha wahi kuwa na mtoto kama mimi.”
Maneno ya Xaviela yakawaacha watu wote midomo wazi, kwani hawajui ni wapi Xaviela amepata ujasiri wa kuzungumza maneno kama hayo mbele ya wazazi wake.

TANGA RAHA 08
ENDELEA
“H…uuuyu mtoto amechanganyikiwa eheee?”
Eddy aliuliza huku akimtazama Xaviela aliye simama mbele yao.
“Sijachanganyikiwa, ila nina hitaji unijibu nitakacho kuuliza”
“Xaviela mwanangu. Tambua kwamba sisi ni wazazi wako na si rafiki zako wa huko nje. Ukizungumza na sisi jaribu kutumia heshima”
Rahma alizungumza kwa sauti ya upole sana huku akimtazama Xaviela usoni mwake.
“Mama kaa kimya”
Xaviela alizungumza huku akimnyooshea mama yake mkono. Eddy akasimama kwa haraka, akamsogelea Xaviela sehemeu alipo simama huku naye akiwa amefura kwa hasira. Akamtandika kofi zito lililo myumbisha Xaviela na akaanguka chini. Kitendo hicho kikamfanya Xaviena kuanza kulia, kwani kupigwa kwa pacha wake, kuna hisia za uchungu zina utesa moyo wake.
“Sijakuzaa uje kunipanda kichwani pumbavu wewe”
Eddy alizungumza huku akimnyanyua Xaviela na kumsimamisha wima.
“Umekuwa eheee?”
“Nahitaji majibu”
Xaviela alizungumza huku macho yake yakitawaliwa na uwekundu utokanao na hasira.
“Umekumbwa na nini Xaviela mwanangu?”
Rahma alizungumza huku akiwasogelea Eddy na Xaviela.
“Mama unakaaje na muuaji, aliye kuulia baba yako na wewe unaendelea kumtetea?”
“Nini?”
Eddy aliuliza huku akitetemeka kwa hasira.
“Wewe ni muuaji. Umeaua watu wengi na unataka ubunge ili uendelee kuwa muuaji si ndio”
Eddy akavuta ngumi akaipelekeka usoni mwa mwanaye ila akajikaza kuizuia sentimita chache kutoka ulipo uso wa mwanaye huyo.
“Niue wewe ni muuaji”
Xaviela alizungumza huku akizidi kufura kwa hasira.
“Eddy mume wangu nakuomba unipe nafasi ya kuzungumza naye”
“Mama nimekuambia kaa kimya. Kwa nini mume wako ame muua baba yako?”
“Xaviela sio kweli nani amekueleza mambo hayo mwanangu?”
“Olvia ndio amenieleza”
Eddy akazidi kujawa na hasira. Akaondoka sebleni hapo na kuingia chumbani kwake. Akachukua bastola yake pamoja na magazine mbili zilizo jaa risasi. Akachukua funguo ya gari na kututoka ndani humo.
“Eddy Eddy una kwenda wapi mume wangu”
Rahma alimuita Eddy huku akimkimbilia nje.
“Eddy mume wangu unafanya nini?”
“Kaa ndani hakikisha huyo mwehu atoki humu ndani”
“Eddy Eddy usije ukaenda kufanya kitu kibaya, tafadhali sana.”
“Nimekuambia kaa ndani. Nitamsaka huyo malaya mji mzima. Nife mimi au afe yeye”
Eddy mara ya kuzungumza hivyo, akaingia ndani ya gari lake na kuondoka nyumbani hapo na kumuacha Rahma akiwa amechanganyikiwa.
“Xaviela umefanya nini wewe?”
“Mama nimemtafuta Olvia na nimemuuliza killa kitu kuhusiana na wewe na amenieleza kila kitu”
“Na wewe umemuamini?”
“Kama nyinyi mulishindwa kunieleza ukweli na yeye akanieleza una hisi kwamba nitashindwa kumuamini?”
Rahma kwa hasira akajikuta akiyang’ata meno yake hadi yakaanza kusuguana mdomoni. Siku zote Rahma amekuwa ni mama mwenye upendo kwa wanae kiasi cha kumfanya ashindwe kabisa kunyanyua mkono wake na kumuadhibu mtoto wake yoyote. Taratibu Rahma akamkumbatia Xaviela.
“Ingekuwa si baba yenu leo hii nyinyi musinge kuwepo wala mimi nisinge kuwepo. Tafadhali Xaviela acha kumuudhi baba yako. Hii familia ameijenga kwa shida sana na amefanya mambo mengi ili kuipata hii amani ambayo mwanangu una hitaji kuivunja. Kwa nini?”
“Baba kwa nini alimuua Olvia?”
“Ni kwa ajili ya kunilinda mimi. Olvia sio mtu kama munavyo muona. Hembu jaribuni basi kumuamini baba yanu wanangu.”
Rahma alizungumza huku machozi yakimwagika usoni mwake.
***
Eddy akasimamisha gari lake pembezoni mwa barabara. Akaingia kwenye mtandao wa google na kumtafuta Olvia Hitler. Akamapata na kuanza kusoma maelezo yake. Akakuta Olvia Hitler ni mmiliki wa mahoteli makubwa yaliyomo jijini Tanga na baadhi ya nchi za Afrika Afrika.
“Malaya wewe, leo nitadili na wewe”
Eddy alizungumza huku akiwasha gari lake. Akaenda kwenye hoteli ya O 5 STAR iliyopo Nguvumali. Akafika mapokezi na kupokelewa na muhudumu ambaye kwa haraka aliweza kumfahamu Eddy.
“Nahitaji kumuona bosi wenu?”
“Bosi wetu hapa hayupo”
“Ninaweza kumpatia wapi?”
“Labda nikupatie namba yake ya mkononi ili uweze kuzungumza naye”
“Nipatie”
Eddy alizungumza kwa msisitizo. Muhudumu huyo akaiandika namba ya Olvia Hitler kwenye kikaratasi na kumkabidhi Eddy.
“Asante”
Eddy alizungumza huku akiondoka kwa mwendo wa haraka kwenye eneo hilo. Akaingia kwenye gari lake na kitu cha kwanza kufanya ni kumpigia Olvia.
“Wewe malaya wa kike upo wapi?”
“Eddy!! Hahaahh imekuwaje leo umenikumbuka?”
“Nimekuuliza upo wapi?”
“Nipo hotelini kwangu eneo la Kange”
Eddy akakata simu na kuianza safari ya kuelekea Kange. Ndani ya dakika ishirini akawa amefika katika hoteli kubwa ya Olvia. Moja kwa moja akeleeka mapokezi.
“Bosi wako nimemkuta?”
“Una appointment naye?”
Muhudumu alimuuliza Eddy. Simu ya mezani ya muhudumu hiyo ikaita, akanyanyua mkonga was mu hiyo na kuiweka sikioni mwake.
“Mruhusu aingie”
“Sawa mkuu”
Muhudumu huyo akakata simu hiyo.
“Nenda floor ya thelathini utamkuta boss”
Eddy akaingia ndani ya lifti na kuelekea gorofa ya thelathini. Akaiona ofisi ya Olvia Hitler. Hakuhitaji hata kugonga na moja kwa moja akaingia ofisini humo huku akiichomoa bastola yake na kumnyooshea Olvia Hitler aliye kaa kwenye kiti chake huku akijiamini.
“Kwa mara nyingine leo ume kuja kuniua eheee?”
“Kwa nini umemueleza mwanangu mambo ya kipuuzi unahisi kwamba hiyo ndio njia sahihi ya kupambana na mimi?”
“Mambo gani ya kipuuzi nimemuambia mwanao?”
“Usijifanye hujui”
“Swala nililo mueleza ni wewe kuhitaji kuniua, sasa hilo ni jambo la kipuuzi? Ulishindwa kumueleza ukweli na mimi nimempa ukweli huku nikiongezea chumvi kidogo. So una lalamika nini?”
“Umeongeza chumvi eheee?”
“Ndio, kwani binadamu nyinyi si munapenda kudanganywa danganywa. Na mimi ndivyo nilivyo fanya kwa yule panya wako asiye jielewa”
Eddy akaanza kutembea hadi alipo kaa Olvia Hiter. Akatamuwekea bastola ya kichwa huku mwili ukizidi kumtetemeka kwa hasira.
“Natambu kwamba huwezi kuniua Eddy na hata hiyo risasi yako haiwezi kuniua. Hivyo ondoa kabastola kako kichwani mwangu”
Eddy akamtandika Olvia Hitler kibao cha shavuni. Xaviela macho yakambadilika na kutawaliwa na rangi nyekundu. Akamshika Eddy koo lake na kuanza kumyanyua kwa mkono mmoja. Akamrushia ukutani na Eddy akaanguka chini vibaya huku bastola yake ikiangukia pembeni.
***
“Moyo wangu umepoteza amani”
Rahma alizungumza huku akisimama. Wanaye wakamtazama mama yako jinsi uso wake ulivyo tawaliwa na wasiwasi.
“Kwa nini umepoteza amani mama?”
Xaviena alimuuliza mama yake.
“Baba yenu hayupo kwenye hali ya usalama”
“Acha afe”
“Xaveilaaaaa!!!!”
Xaviena aliita kwa mshangao mkubwa sana, hakutarajia kama kinywa cha dada yake kina weza kuzungumza maneno kama hayo.
“Ndio ana faida gani kwenye maisha yetu mtu ambaye ni muuaji?”
Rahma akakimbilia chumbani, akachukua funguo ya gari na kutoka.
“Mama tunaenda sote.”
Xaviena alizungumza huku akimfwata mama yake nyuma. Xaviela wala hakujisumbua kuondoka nyumbani hapo. Xaviena na Rahma wakaingia kwenye gari na kuondoka nyumbani hapo.
“Sasa mama tunakwenda wapi?”
“Sijui mwanangu, nimechanganyikiwa. Olvia atamuua mume wangu”
“Ngoja nimpigie simu”
Xaviena alizungumza huku mwili mzima ukimtetemeka. Simu ya Olvia ikapokelewa.
“Mambo Xaviena”
Olvia alizungumza kwa sauti ya upole sana na iliyo jaa furaha.
“Olvia umemuona baba yangu?”
“Hapana sijamuona. Vipi kwani?”
“Baba yangu alikuwa ana kutafuta, nikahisi kwamba umekutana naye.”
“Hapana my dia.”
“Sawa, ila nakuomba Olvia epuka kuonana na baba yangu kwa siku ya leo kwa maana ana hasira kali sana”
“Kuna tatizo lolote?”
“Ndio Xaviela si alionana na wewe leo na sijui ume muambia maneno gani?”
“Yaaa nilionana na Xaviela ila kwa sasa ninaondoka Tanga kwa ndege ya muda huu”
“Unaondoka?”
“Ndio mpenzi, nikirudi nitakutafuta tuzungumze yale mambo tuliyo panga. Sawa my dia”
“Sawa”
Xaviela akakata simu huku akimtazama mama yake usoni. Rahma akajikuta akisimamisha gari akishindwa kujua ni wapi wanapaswa kwenda.
***
Olvia Hitler mara baada ya kukata simu yake akairudisha mfukoni mwake huku akimtazama Eddy anaye tokwa na damu mdomoni mwake. Kwani pigo la kumrusha ukutani limekuwa ni pigo moja baya sana kwenye mwili wa Eddy. Olvia Hitler akamyanyua Eddy na kumsukumia katika bafu lililo hapo ofisini kwake.
“Eddy Eddy Eddy”
Olvia alizungumza huku akimtazama Eddy anaye tambaa akijitahidi kusimama, ila ana shindwa kwa maumivu makali aliyo yapata.
“Nilipanga mambo mema sana kwako, ila ujinga wako ndio umekufanya uangukie hapa. Sasa leo nina kuua”
“Niue tu”
“Hahaaa bado hujaacha jeuri yako”
“Niue malaya mkubwa wewe”
“Hahaaa. Unataka kujua kwamba mimi ni malaya eheee”
Olvia akamsimamisha wima Eddy, akamvua nguo zake zote na akabaki kama alivyo zaliwa. Akamtazama kwa sekunde kadha na kumshika Eddy sehemu zake sari.
“Nahitaji nikuonyeshe umalaya wangu upo vipi Eddy na miaka yote hiyo kumi na tisa, nime jawa na nyeg** ambazo leo nina hitaji uzishushe zote la sivyo nitamuua mwanao mmoja baada ya mwengine ukishuhudia kwa macho yako haya mawili”
Olvia Hitler alizungumza kwa sauti iliyo jaa mikwaruzo ya kutisha huku mkono wake wa kulia ukiendelea kumchua jogoo wa Eddy taratibu.
ITAENDELEA

Leave Comments
Post a Comment