Mahusiano When a Man Says He Doesn't Want Children, He Means It By Mahusiano Yetu Saturday, 15 June 2019 0 Edit 1 Facebook Twitter Linkedin Pinterest Laboring to Love an Abusive Mate: When a Man Says He Doesn't Want Children, He Means...: Some victims of domestic violence assume that if they have a baby for an abusive man, then another and another that some how the man will ch... Previous article Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote single duniani 1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa.2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume.3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia.4. Usiwe mtu wa kuendekeza kuzipokea na kuzijibu namba ngeni za simu hasa nyakati za usiku.. sio njia sahihi ya kupatia mpenzi.5. Tengeneza mazingira ya kuilinda afya. Jitahidi kunywa chai asubuhi maji mengi na acha kula vitu vitamu6. Vaa vizuri na kiheshima. Watu watavutiwa na wewe ulivyo kabla ya kuongea nawe7.Usitumie sex kama ndio mzani wa mapenzi.Unaweza ukaachika tuu pamoja na penzi lako taamu.8. Usiolewe na mtu kwa sababu ya fedha; Utabakia kuwa mtumwa wake9. Jiongezee ubora wako, Tafuta kazi.Usiwe mpuuzi ukaamini mwanaume atatatua matatizo yako yote.10. Jiheshimu sana kwa kuangalia namna ya uvaaji wa mavazi yako na mwonekano wako mbele ya jamii…. Usitegemee kuvaa kimini ukutane na mwanaume wa suti… wewe utampata wa milegezo na kubana pua tu. Next article Kwa WANAWAKE TU! Hizi Hapa Njia 14 Za Kujiweka Ili Wanaume Watamani Kukutongoza Related Posts: Fahamu Faida 10 za Kufanya Mapenzi Kipindi cha Ujauzito.Wanaume Mnao Jisifia Mnajua Mambo Sita kwa Sita Mnaboa Wengi Si lolote..One Minute ManTabia za Msichana Anayekupenda Kimapenzi Lakini Hawezi Kusema
Leave Comments
Post a Comment