Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Zari Hassan "Sihami kwa Diamond Ng’o"

Image result for Zari Hassan

Jamani ila zari anajua kupanikisha watu, khaa kwa hiyo zile mbwe mbwe za kuhama ilikua ni geresha au ? Yani nikiangalia video nacheka mbavu sina, yani kama mtu una hasira unaweza pasua simu kwa kweli, Dada mange Sijui Ana hali gan Huko maana alishaanza kufurahia zari kuhama, ila Mimi mwenyewe ningeshangaa kama angehama, yani mjumba wote huo unaanzaje kuhama? Walidhan umeingia leba kifara tu kama akina mwafulani , watu wako na long term plan bwana , life investment, safi sana zari, waache wabongo mapovu yawatoke, they want that life so bad , but sio wewe uliyewatuma kuzaa na wanaume bila kutumia akili , dah ila Leo Zari umejua kunikosha, yan umeua

Halafu anavyocheza mwenye we kwa mbwe mbwe zote eti ahami mtu hapa mtu hapa, yan nikiangalia video mwenzenu hoi kwa kicheko

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4