KIUNGO BIASHARA UNITED ANA IMANI NA SIMBA NA YANGA KWENYE KUKUZA VIPAJI
NOVATUS Dismas, kiungo w
a Biashara United anaamini kuwa Simba na Yanga haziui kipaji.
Nyota huyo amesema kuwa kikubwa kinachosababisha kipaji kupotea kwa mchezaji ni kushindwa kujilinda yeye mwenyewe.
"Hakuna timu ambayo inaua kipaji labda mchezaji mwenyewe aamue kushindwa kujilinda lakini timu hizo kubwa ni njia ya kutusua kwa wengi.
"Simon Msuva na Mbwana Samatta hawa ni miongoni mwa wale ambao wamepita timu hizo kubwa, kwa sasa wametusua," .

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment