Vichekesho

Huyu mwanafunzi kweli kiboko 😂😂

Huyu mwanafunzi kweli kiboko
``Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema..John kusikia hivyo....Karusha begi la daftari nje.....` **`Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`* `John: Mimi..... Kwa herii Mwalimu......` 😂😂,😂😂
😁😁😁😂😂😂
Previous article
Leave Comments
Post a Comment