Simulizi

ILIPOISHIA
Nesi huyu akazunguka upande wa pili wa chumba hichi na kutoka, tukaanza kuongozana kueleka katika vyumba hivyo vya wagonjwa mahututi. Tukafika katika eneo la vyumba vya wagojwa mahututi, nikamuona mama Rose akiwa amekaa kwenye benchi la wagonjwa.
“Kaka ndio hapa”
“Asante”
Nesi akaondoka, nikatembea kwa hatua za taratibu, mama Rose alipo geuka na kunitazama akanyanyuka kwa haraka na kunifwata hadi sehemu nilipo, akanitandika kibao kimoja kikali hadi watu walipo katika sehemu hii wakashangaa huku wakitutazama.
“ONDOKA ENEO HILI KABLA SIJAWAITA POLISI WAKAKUCHUKUA MALAYA MKUBWA WEEEE”
Mama Rose alizungumza kwa sauti ya chini ila iliyo jaa hasira kali huku machozi yakimlenga lenga kwenye macho yake.
ENDELEA
“Mama please ninakuomba unisikilize mara moja”
“Nikusikilize unihalalishie upuuzi na ujinga wako ambao umeufanya eheee”
Mama Rose aliendelea kuzungumza huku akinikazia macho yaliyo jaa hasira kali.
“Hapana mama unashindwa kunielewa tu”
“Ninashindwa kukuelewa, unataka kuniambia kwamba hukutoka kutom**ana wewe?”
Maneno ya mama Rose yakaendelea kuniumbua kwa maana kitu anacho kizungumza kina ukweli kabisa, japo siwezi kukiri mbele yake kwamba ni kweli nilitoka kungonoka.
“Mama, unaamini kweli kwamba mimi nimetoka kufanya mapenzi. Hembu tazama makovu haya yote usoni kweli unaweza kuhisi kwamba nimetoka kungono.?”
“Acha unafki mtoto wa kiume wewe, tazama sura yako haina hata haya mambo mengine uacha unafki”
Mama Rose alizungumza huku akianza kuminya minya simu ya Rose, alipo hakikisha amekipata kile alicho kikusudia kukipata, akanigeuzia simu ya Rsoe. Sikuamini macho yangu nilipo iona video inayo tuonyesha mimi na Zari anaye ninyonya jogoo wangu, japo Zari kwenye hii video anaonekana mgongo.
‘Ina maana Rose aliturekodi?’
Nilijiuliza huku nikiitazama video hii ambayo mimi mwenyewe ninaonekana kufumba macho kwa utamu ambao ninaupata hapo.
“Zungumza malaya wa kiume wewee”
Mama Rose aliendelea kubwata huku akiwa ameishika simu ya Rose akinionyeshea, nikatamani sana kumpokonya simu hii, ila mazingira niliyopo sio mazuri kabisa.
“Na ninakuambia, mwanangu akifariki hii video nitaisambaza mtandaoni sasa tuone mimi na wewe nani ni zaidi”
Mama Rose alizungumza huku akiondoka na kurudi sehemu lilipo benchi la kupumzikia watu wanao wasubiria wagonjwa wao walio ingizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi. Kichwa changu nikahisi kinaweza kuchanganyikiwa kwa kile nilicho kiona na kukisikia kutoka kwa mama Rose.
Simu mfukoni mwangu ikaanza kuita, nikatembea kwa haraka hadi sehemu ambayo nikaona ninaweza kuipokea simu hii ambayo bado ipo mfukoni mwangu. Nikaitoa simu mfukoni na kukuta ni mama ndio anaye nipigia.
“Shikamoo mama”
“Mara haba, sisi tumesha fika, vipi hapo nyumbani?”
“Kila kitu kipo sawa”
“Ahaa hakikisha usalama unakuwepo, na usitoke na kwenda kutembea ukamuacha huyo mtoto wa watu peke yake hapo nyumbani”
“Sawa mama”
“Ulinunua vitu vilivyo pungua kwenye friji?”
“Ndio mama”
“Haya badae”
Mama akakata simu, nikaiingiza mfukoni na kurudi sehemu alipo mama Rose huku nikiwa na wasiwasi mwingi mwingi usoni mwangu. Nikasimama kwa sekunde kadhaa pembeni ya benchi alilo kalia mama Rose kisha nikaka pembeni yake huku nikimtazama kwa jicho la kuiba iba. Mama Rose akanitazama kwa jicho kali sana ila ila hata kabla hajazungumza kitu chochote, dokta katika chumba ninacho amini ndipo alipo ingizwa Rose, akatoka akiwa amevalia koti jeupe na gloves zake mikononi.
“Dokta mwangu anaendeleaje?”
“Wewe ndio mama wa huyu binti humu ndani?”
“Ndio baba yangu”
Dokta akanitazama mimi niliye simama nyuma ya mama Rose na kumfanya mama Rose naye kutazama nyuma. Alipo niona akaachia msunyo mkali sana hadi dakatari akabaki akiwa na mshangao mkubwa sana.
“Si nilikuambia uondoke, Malaya weweee”
Mama Rose alizungumza kwa sauti ya chini huku akiwa ameyang’ata meno yake kwa uchungu sana.
“Dokta ninakuomba uniambie Rose wangu anaendeleaje?”
Nilizungumza huku machozi yakinilenga lenga usoni mwangu. Daktari akatuitazama mimi na mama Rose huku akitafakari ni kitu gani anaweza kuzungumza kwa wakati huu.
“Nani ni muhusika kati yenu?”
“Mimi baba”
“Kijana naomba utupishe”
Daktari alizungumza kwa sauti ya upole huku akinitazama usoni mwangu. Sikuwa na jinsi ya namna yoyote zaidi ya kuwapisha na kusimama pembeni na kuwatazama jinsi wanavyo zungumza mazungumzo yao. Kazi yangu kubwa ikawa ni kutazama mdomo wa daktari, ninatazama jinsi mdomo wake unavyo taja matamshi, nikamuona mama Rose akiweka mikono yake kichwani akionekana kuchanganyikiwa. Uvumilivu ukanishinda na kujikuta nikitembea kwa haraka hadi sehemu walipo simama.
“Daktari nakuomba uniambie ni kitu gani ambacho kinaendelea?”
Daktari akanitazama kwa mshangao, sura ya mama Rose imejaa machozi mengi, jambo lililo nifanya nianze kupatwa na woga mwingi moyoni mwangu.
“Dokta tafadhali ninakuomba uniambie mpenzi wangu Rose anaendeleaje?”
“Kwa hapa tumeshindwa kuiondoa sumu iliyopo mwilini mwa Rose. Hadi sasa hivi hatufahamu ni sumu ya aina gani ambayo ameweza kunywa kwa maana ni sumu ambayo inamuharibu taratibu taratyibu mwili wake.”
“Kwa hiyo hapo daktari inakuwaje?”
“Nimezungumza na mama hapa nikamuambie, hakua jambo jingine ambalo tunaweza kulifanya zaidi ya kumuhamisha hospitali, na si kumpeleka hospitali za serikali, anaweza kufa. Ninacho kihitaji ni nyinyi kuweza kumpeleka hospitali binafsi na hospitali ambayo ninawashauri muweze kwenda ni Aghakan. Hapo kuna madaktari bingwa ambao wanaweza kudili na hii poison”
“Itagarimu kiasi gani dokta?”
“Mama hapa nilimueleza garama za awali nikamuambia inaweza kugarimu kama milioni mbili kwa kuanza matibabu ya haraka”
“Hakuna shida dokta nitagaramia mimi kila kitu”
“Sitaki pesa zako”
Mama Rose alizungumza huku akiwa amenikazia macho japo anamwagikwa na machozi ila macho yake yamemtoka na kwa jinsi alivyo mweupe sura nzima imetawaliwa na wekundu wekundu kwenye mashavu.
“Mama hapa hatuzungumzii pesa zangu, kama ni makosa yamesha tokea. Tuangalie maisha ya mpenzi wangu”
“Nimesema sihitaji pesa yako na kama unahisi ninakutania endela kujipendekeza katika hili swala nitakutoa roho”
Mama Rose baada ya kumaliza kuzungumza akaondoka kwa mwendo wa haraka na kutuacha mimi na daktari tukibaki huku tukiwa tunamtazama.
“Dokta yule ni mwanamke, ninaijua vizuri hii familia. Ninakuomba kama inawezekana niweze kufanya malipo ya hiyo pesa na mpenzi wangu aweze kufanyiwa matibabu ya haraka”
Daktari akaka kimya huku akinitazama usoni mwangu kisha akatazama upande alipo alekea mama Rose, kisha akatingisha kichwa akionekaa kukubaliana na kile ambacho ninakizungumza.
“Nifwate”
Tukaondoka na daktari huku tukitembea kwa mwendo wa haraka sana. Tukaingia kwenye moja ya ofisi, kitendo cha kufika ndani ya ofisi, daktari akanyanyua mkonge wa simu yake ya mezani. Akaminya minya namba kadhaa kisha akauweka mkonge huo wa simu sikioni mwake.
“Dokta Almeda hapa ninazungumza”
“Nina dharura, kuna mgonjwa wangu ninahitaji kumleta hapo hospitalini kwako haraka iwezekanavyo”
“Ame kunywa sumu, hapa tumejitahidi kuitoa ila tumeshindwa kabisa katika kulifanya hilo”
“Shukrani”
Dokta akaurudisha mkonge wa simu sehemu alipo utoa kisha akachukua moja ya fomu, akajiza kwa haraka haraka kwa kutumia mkono wake wa kushoto. Alipo hakikisha kila jambo lipo sawa akanigeuzia fomu hii.
“Saini hapa”
Akanionyesha sehemu ya kusaidi, kwa haraka nikasaini, kisha akaitengenisha karatasi hii na karatasi ambayo ilikuwa chini na maandishi yote yaliyo andikwa yamebaki katika karatasi hiyo.
“Hii ni fomo ya transfer, malipo utakwenda kulipia huko huko”
“Sawa”
Daktari akanyanyua tena mkonga wa simu ya mezani, akaminya minya namba na kupiga namba ya simu.
“Andaaeni gari la wagonjwa ni dharura”
Daktari akarudisha mkonga wa simu sehemu alipo utoa kisha akaniomba niongozane naye. Tukatoka kwenye ofisi, moja kwa moja tukaelekea hadi katika chumba cha wagonjwa mahututi.
“Subiri”
Daktari alizungumza huku akiingia ndani, nikabaki nje huku nikiwa na wasiwasi mwingi sana. Ujio wa Zari nyumbani kwetu ndio umesababisha haya yote katika maisha yangu. Nikiwa katika hali ya kumfikiria Zari mlango wa chumba hichi cha hospitalini ukafunguliwa kikatolewa kitanda cha matairi na juu yake amelazwa Rose anaye hemea mashine ya oksijeni.
Manesi wanao kisukuma kitanda hichi wote wamejifunga nyuzo zao na kubakisha macho pamoja na paji za nyuso zao. Nikaanza kukifwata kitanda kwa nyuma huku daktari akiwa pembeni yangu. Tukatoka nje na kukuta gari la wagonjwa likiwa tayari limesha andaliwa kwa safari ya kuelekea safari ya Akgakan. Manesi wakaanza kumuingiza Rose katika gari la wagonjwa, nikamuona mama Rose akija eneo hili kwa kasi sana.
“Mwanangu munampeleka wapi jamani?”
Mama Rose alizungumza huku machozi yakimtoka, sikuhitajhi kumsikiliza kwa maana ninatambua akili yake kwa sasa amechanganyikiwa kabisa na hafahamu anacho kizungumza kwa sasa kinamtoka pasipo kuelewa hali halisi ya jambo lenyewe jinsi lilivyo.
“Mama kama nilivyo kuambia pale ndani. Mwanao inatulazimu kumpeleka Agakgan kwa ajili ya matibabu zaidi kwa maana hapa kwenye hospitali yetu sisi tumeshindwa”
“Sihitaji huyu kijana aweze kwenda”
“Kama umepata hiyo milioni mbili kijana atakupa fumo niliyo mpatia kisha atakwenda na mwanao”
Maneno ya dokta yakamfanya mama Rose kukaa kimya huku akibaki akiwa anamtazama daktari pasipo kumjibu kitu cha aina yoyote. Ukimya wa mama Rose ni jibu tosha kwamba hana pesa ya kulipia matibabu ya mwanaye.
“Mama tuweke tofuati zetu pembeni, tuangalie hili tatizo linakwenda, kwa kuzubaa kwako hapa Rose akifa, kifo chake kitakuwa mikononi mwako”
Nilizungumza kwa kujiamini huku nikiwa nimemkazia mama Rose macho. Akaaendelea kukaa kimya, nikamtazama daktari usoni mwake, kwa ishara ya macho akaniomba niingie kwenye gari. Nikaingia kwenye gari na mama Rose naye akafwata, manesi wakafunga mlango na gari ikaruhusiwa kuondoka.
Machozi yakaanza kunilenga lenga usoni mwangu, siamini kama Rose huyu ambaye jana muda na wakati kama huu nilikuwa naye pembezoni mwa fukwe za bahari tukizungumza mambo mengi hususani swala langu la kwenda kusomea udaktari. Mama Rose kazi yake kubwa ni kulia kimya kimnya huku akimtazama mwanye jinsi alivyo lala na alivyo mrembo sana mbele za macho ya watu.
“Ohoo Rose, usife mwangu, nitabaki na nani mimi”
“Mama usizungumze kwa sauti, mgonjwa haitaji kelele”
Nesi mmoja alizungumza na kumfanya mama Rose asizungumze kitu kingine zaidi ya kujipangusa machozi yake usoni mwake.
Hatukuchukua muda sana tukafanikiwa kufika katika hospitali ya Agakhan, manesi wakafungua mlango, nikaanza kutoka mimi. Manesi wengine ambao nahisi walisha pewa taarifa juu ya ujio wetu tukawakuta wakitusubiri huku wakiwa na kitanda chao maalumu cha kubebea wangonjwa. Kwa haraka Rose akatolewa ndani ya gari akapakiwa kwenye kianda hichi tulicho wakuta nacho hawa manesi, na kuanza kukisukuma kuelekea ndani huku mimi na mama Rose tukiwa tunawafwata kwa nyuma.
“Unaweza kufanya malipo hapo mapokezi”
Nesi mmoja alizungumza huku akinishika mkono, sikuwa na jinsi zaidi ya kuwaacha manesi pamoja na mama Rose kutangullia katika sehemu ambayo Rose anaweza kupatiwa matibabu kwa haraka iwezekanavyo. Nikasimama katika dirisha la mapokezi na kuwakuta manesi wengi wakiendelea kuwahudumia wato tofauti tofauti tuliopo kwenye hili dirisha.
“Nimemleta mgonjwa wangu sasa hivi hapa, sifahamu malipo ninafanya vipi?”
“Unakaratasi yoyote uliyo kuja nayo na mgonjwa wako hapa?”
“Ndio ninayo”
“Naiomba”
Nikampatia nesi huyu mwenye asili ya kihindi karatasi niliyo patiwa na daktari. Akaisoma kwa haraka haraka, kisha akachukua peni na kusaini, kisha akagonga muhuri.
“Matibabu ya walini ni milioni moja na laki mbili. Akichukua chumba, pamoja na garama nyingine ni laki nane”
“So ni sawa na milioni mbili si ndio?”
“Yaa”
“Ninaweza kulipia kwa huduma ya mpesa”
“Ndio, namba ya malipo hiyo hapo kwenye dirisha”
Nikaitazama namba hii ya malipo, kisha nikatoa simu yangu mfukoni. Nikaanza kufanya hatua za malipo kwa maana kwenye akaunti yangu Mpewa kuna pesa ya nyingi tu.
“Done”
Nilimuambia nesi huyu huku nikimtazama uosni mwake. Akachukua simu ndogo, akanitazama kwa sekunde kadhaa.
“Erick Palm”
“Yaa”
“Imefika, subiri nikuandikie risiti”
Nikasubiria kwa dakika moja, nesi akaniandika risiti na kunikabidhi.
“Samahani mgonjwa wangu atakuwa amepelekwa wapi?”
“Ngoja niulize”
Nesi huyu akachukua simu iliyopo pembeni yake, akaanza kuzungumza kiarabu ambacho sikielewi kabisa. Akakata simu na kunitazama.
“Wewe ni mwenyeji katika hii hospitali?”
“Hapana”
“Basi twende nikupeleke”
Tukaongozana na nesi huyu, tukaingia kwenye lifti na kuelekea gorofa namba moja, moja kwa moja tukaongozana kwenye kordo, tukakunja kushoto kukuta vyuma vilivyo tulia. Nikamuona mama Rose akiwa amesimama pembeni huku akionekana kujawa na mawazo mengi.
“Asante”
Nilimuambia nesi, baada ya kumuona mama Rose, nesi akaninyooshea kidole gumba kisha akageuza na kuondoka eneo hili. Nikamsogelea mama Rose na kusimama pembeni yake, ukimya ukatutawala kati yetu hapakuwa na mtu ambaye alimsemesha mwenzake, kila mtu akili yake inamfikiria Rose aliyopo ndani ya chumba hichi akifanyiwa matibabu.
“Asante”
Mama Rose alizungumza kwa saunti ya chini.
“Usijali mama”
“Ila kwa nini umefanya ulicho kifanya wakati si mimi tu niliye kuwa ninakuamini, ila hata Rose mwenyewe alikuwa anakuamini sana?”
“Mama hili ni kosa ambalo kusema kweli hadi sasa hivi ninajutia kwenye maisha yangu, kwa maana laiti nisinge fanya vile leo hii mimi tusinge kuwepo hapa”
Mama Rose akatazama pande zote za hili eneo, kisha akanigeukia na kunikumbatia kwa nguvu huku akiniminya minay mgongoni mwangu
“Erick nahitaji na mimi ili niifute hii video”
“Unahitaji nini?”
“Nahitaji kile ulicho mpa Rose na kumfanya apagawe na kunywa sumu”
Nilijikuta nikistuka sana kwa maana sikutegemea kuyasikia maneno haya kutoka kwa mama Rose ambaye siku zote ninamuogopa na kumuheshimu kupita maelezo
ITAENDELEA
New Story: Am Not A Doctor ...04

Leave Comments
Post a Comment