Sunday, 16 March

Ads Right Header

Buy template blogger

Q Chilla Afunguka Kwa Mara ya Kwanza Huku Akitoa Chozi Baada ya Harmonize Kumnunulia Gari



Harmonize aliniita ili anisimamie ili kunirudisha kwenye Game baada ya kuona trend yangu sio nzuri na tumerecord nyimbo tatu 3 pamoja na yeye japo hazijaachiwa lakini kuhusu kunipa gari sikutegemea kabisa namshukuru sana mdogo wangu kaniona kaka yake nina tatizo la kuwa na usafiri kaninunulia gari Mungu ampe afya njema awasaidie na wengine zaidi " - Q Chief.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4