A - Pale mwanaume anapompa mwanamke mbegu, mwanamke humpa mwanaume mtoto.
B - Pale mwanaume anapompa mwanake nyumba, mwanamke uifanya nyumbani.
C - Ukimpa mwanamke bidhaa za shambani yeye anakutengenezea chakula
D - Ukimpa maneno machache yeye anakutengenezea sentensi nzima
E - Ukiamua kumchanganya akili yake kidogo tu yeye anaweza kukuvurugia maisha yako yote, ila ukimpa furaha kidogo yeye atayafanya maisha yako yawe paradiso.
Kwahiyo tusilaumiane.
Leave Comments
Post a Comment