KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA VIKINDU,MKURANGA

Wachoma vitumbua waliopo kando kando ya kituo cha Daladala cha kata ya Vikindu barabara Kilwa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani leo Septemba 8, 2020 wakiendeleaa na kazi yao kama wanavyonekana pichani ambapo kitumbua kimoja ni Shiling 100,200


(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment