Saturday, 15 March

Ads Right Header

Buy template blogger

HAKUNAGA MIMBA YA BAHATI MBAYA WAKATI MNASHIRIKI TENDO LA NDOA.

Image may contain: 1 person
.. Hata Bikra Maria alitokewa na malaika wakimwambia atapata ujauzito kwa njia ya roho mtakatifu iweje wewe unayeshiriki tendo la ndoa na mwanamke halafu akinasa mimba useme ni bahati mbaya? Kuna makosa mengi wanaume hufanya kwa wanawake lakini kosa la kuikana mimba ama kumtenga mwanamke kipindi awapo mjamzito binafsi huwa nasema WALAANIWE! Kama kuna kipindi ambacho mwanamke huhitaji ukaribu wa mwanaume ni pale awapo mjamzito, Kwanza ngoja niwaambie wanaume wenzangu HIVI MNAJUWA NI JINSI GANI MWANAMKE ANAKUWA KIPINDI AWAPO MJAMZITO? Mwanamke awapo mjamzito huhitaji tendo la ndoa kuliko kawaida, Mwanamke awapo mjamzito huwa na joto zuri, Mwanamke awapo mjamzito humpenda mumewe zaidi ya sana laa kama ulimtwisha mimba mkiwa na ugomvi hapo bwana wengine huwachukia waume zao... Ni busara kwa mwanaume kuhakikisha anakuwa Karibu na mkewe ama mwanamke aliyempa mimba ili kumfariji Kwani MIMBA sio jambo dogo maana huchukuwa uhai wa wanawake wengi, Kuna wanaume akiona mkewe amebeba mimba husikia kinyaa na kumtenga kipindi chote cha mimba, Ki sayansi tendo la ndoa baada ya mimba kunasa ni muhimu sana ili kumkomaza mtoto na wapo wanaume wanajidanganya kuwa MWANAMKE AWAPO NA MIMBA HATONGOZWI weeee thubutuu yako siku hizi wako wanaume wanataka wanawake wajawazito tu hivyo jiangalie MTOTO atakomazwa na mwanaume mwenzio uje kuuliza mbona masikio sio yangu? Ha ha haaa.
Next article
WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HATOKUSAHAU KAMWE    Habari yako ndugu msomaji? Natumaini u mzima na mwenye afya njema. 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko msichana yeyote awaye. 2. Wakati wowote ukipata nafasi muandikie barua au msg kwenye simu mueleze hisia zako kiasi gani unampenda. Kumbuka wasichana hupenda kusikia zaidi kutoka kwa wapenzi wao ni kiasi gani wanapendwa. Haitakiwi iwe tu katika kipindi cha siku ya wapendanao ndio umuoneshe kuwaunampendaMuoneshe msichana ni kiasi gani yeyeni muhimu sana kwako. 3. Busu la ghafla na kumshika mkono wakati mkitembea pamoja itamfanya yeye kujisikia raha zaidi. Na wakati mwingine msuprise kwa kumtembelea mara kwa mara hi humfanya akuone wewe ni mtu muhimu pale usipokuwa naye karibu na kumfanya kukuhitaji zaidi ukiwa naye mbali 4. Tambua mahitaji yake. Uwe msaada kwake kipindi ambacho mpenzi wako amekasirika kuwa pale kwa ajili yake na ukimpooza kwa sauti ya upole na mahaba. Utashangazwa sana na kiasi gani msaada huo umeleta mabadiliko kwake. Hakikisha unamsaidia katika shida zake hapa ndipo kuna tatizo kwa wavulana wengi. Mapenzi si pesa lakini kuna kipindi ambacho pesa huitajika kulinda penzi lako. Si msichana anapokuomba pesa ina maana ana nia ya kukuchuna au amekupendea pesa kuna shida nyingine inabidi akuombe wewe tena kwa kukupima kama utakuwa tayari kumsaidia. 5. Mchukue mpenzi wako out mara nyingine itamfanya ajisikie furaha sana kwa sababu wasichana hupenda enjoyment na boyfriend zao. Hii haitamfanya mpenzi wako tu kuwa na furaha bali itawafanya nyie kwa pamoja kujuana na kufahamiana zaid 6. Kuwa muwazi kwake usimfichejambo linalokuhusu. Msichana hupenda kutoa ushauri kwa mtu ampendaye hivyo unapokuwa muwazi atajisikia kuthaminiwa nawe na kukuona umemuamini 7. Ukijiona upo busy sana usithubutu kuacha japo kumpigia simu mara mbili kwa siku hata kama ukishindwa kumpigia wakati upo ofisini darasani au kwingineko hakikisha unapopata nafasi japo ujumbe mfupi wa kumwambia unampenda. 8. Mkumbatie mara kwa mara katika tukio la kumbatizi kuna jambo kubwa sana hutokea. Si kwake tu hata kwako mvulana. Hali ya joto lenu huwaweka pamoja kifikra hata pale msipokuwa pamoja. 9. Epuka maugomvi na hasira za mara kwa mara ukiwa nae. Mwanamke hupenda ustaarabu kwa mtu ambaye yupo serious naye hivyo ukionesha hasira kabla hata hujamtongoza unaweza ukamkosa msichana hivihivi wasichana huwaogopa wavulana wenye hasira na wagomvi kwa sababu hupenda kubembelezwa. 10. Mdekeze. Msichana anapenda kudeka anaenda kudeka sana na kubembelezwa sana hivyo mvulana ukidekewa usikasirike eti huyu msichana kazidi wewe ndio wakati wako wa kumuonesha msuchana wako unampenda mdekeze mpaka aone aibu kudeka siku nyingine. Wasichana wameumbwa kwa jili ya wavulana ndio maana hudeka hii ndiyo silaha pekee na ya mwisho kumpata msichana hata kamasi wako ni wa rafiki yako unaweza ukatumia silaha hii kumpora msichana huyo kwa mwenzio usipojua kudekeza utaachwa pia.

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4