Ads Right Header

Buy template blogger

BEKI COASTAL UNION AWAPA MASHARTI SIMBA NA YANGA ILI AMWAGE WINO

BEKI COASTAL UNION AWAPA MASHARTI SIMBA NA YANGA ILI AMWAGE WINO
BEKI chipukizi anayekipi
ga ndani ya Klabu ya Coastal Union Bakari Mwamnyeto amesema kuwa anachotazama kabla ya kumwaga saini ndani ya timu ni maslahi pamoja na nafasi yake ya kucheza.

Nyota huyo inaelezwa anawindwa na Yanga pamoja na Simba ambazo zinahitaji saini yake.

Beki huyo amesema hana hiyana kukipiga Kwenye Klabu hizo kwani uwezo anao. "Kwangu mimi sina hiyana ya kucheza Simba ana Yanga ila kikubwa ambacho ninakitazama ni maslahi binafsi na nafasi yangu ya kucheza," amesema.
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4