Ads Right Header

Buy template blogger

UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA

UJUMBE WA RUVU SHOOTING KUHUSU CORONA
EDWARD Cristofa mshamb
uliaji wa Ruvu Shooting amesema kuwa kikubwa ni kila mmoja kuamini katika ndoto zake na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.

Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na janga la Virusi vya Corona.

"Muhimu kwa sasa kila mmoja kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona ili ajilinde yeye na jamii kiujumla," amesema
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4