Ads Right Header

Buy template blogger

HASARA YA KUCHELEWA KUOLEWA


Black Panther Power ✊🏿 - Black Couple Revolution | FacebookHASARA YA KUCHELEWA KUOLEWA* _1. KWA WADADA:_ 


 Sifahamu hii hali ni sababu za kimazingira ama nini. Mdada ambaye amechelewa kuolewa huwa ana panic na anakuwa na uwoga wa kupata watoto. Na kitaalamu huwa wana delay kufanikiwa kupata mimba tofauti na wasichana wenye umri mdogo. Mdada mwenye umri zaidi ya miaka 35 also miscarry easily na huwa wanapata tabu sana pindi wakiwa wanazaa.


Pia kama mdada aja olewa mapema, wanakuwa waoga na awapo makini kumchagua mwanaume aliye sahihi (Mr Right) badala yake wengi wanaanguka katika watu siyo sahihi (Mr Available). Wanakuwa wanafanya wrong choice na ndoa zinakuwa failed.

Pindi mke akiwa ameolewe akileta mawazo yake kwa mume, mume anakuwa na wasiwasi labda anajihisi huyo mwanamke (Mke) anamuona as if yeye ni Gold diggers and opportunists hasa akiwa anauwezo wa kutosha.


Vizuri kuolewa mapema na kukuwa na hilo pendo na mtu ambaye mlianza wote kusaka maisha kuliko kumkuta mtu ambaye tayari anamaisha yake mazuri. Hivyo sasa thamani ya mke katika ushauri aipewi nafasi kubwa na ndipo mitikisiko ya ndoa uanza.



  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4