Ads Right Header

Buy template blogger

MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu


Russian-African love storySiku zote MWANAMKE hawezi kumpata Mwanaume aliye mkamilifu maana tupo aina tofauti tofauti. 
1.Ukimpata Handsome_Kichwa chake ni empty.

2.Ukimpata Genius_Yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno.
3.Ukimpata Tajiri_ Hawezi kukuheshimu full madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana.

4.Ukimpata Mfanyakazi hodari_ Hana muda wa kuwa karibu na wewe, muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha/pesa.


5.Ukimpata mnyenyekevu_ Mfukoni huwa ni 0%


6.Ukimpata anayekupenda kwa dhati_ Anakuwa siyo type yako, yaani hana sifa unazozitaka, au hana muonekano ule unaoutaka wewe.

7.Ukimpata msomi_ Hasikilizi ushauri wako anakuona boya tu, huna point za maana mbele yake.
8.Ukimpata yule Smart_ Ni muongo kupita kiasi na player.

Hivyo basi, fuata moyo wako na shukuru kwa kila hali. Maana toka anguko la ADAM hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe hapo haujakamili


  NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article

Leave Comments

Post a Comment

Ads Post 4