HAWA HAPA WAKALI WATATU WAMEMTUNGUA MANULA NJE YA 18
AISHI Manula amekaa Langoni Kwenye mechi 21 za Ligi Kuu Bara ambazo ni dakika 1,890.
Ametunguliwa mabao 10 akiwa na wastani wa kutunguliwa bao moja kila baada ya dakika 189.
Mabao matatu ametunguliwa nje ya 18 na washakji zake waliomtesa ni Edward Songo anakipiga JKT Tanzania ilikuwa Uwanja wa Uhuru.
Pale Taifa ametunguliwa mara mbili na mshkaji wake wa Kwanza alikuwa ni Mapinduzi Balama kisha akakutana na mshuti wa Morrison wote wa Yanga.
Previous article
Leave Comments
Post a Comment