UKIKETI NA MUME SEBLENI HAKIKISHA UMEJIWEKA SAWA KILA KIUNGO KIWE NA PAMBO LAKE
.
UKIKETI NA MUME SEBLENI HAKIKISHA UMEJIWEKA SAWA KILA KIUNGO KIWE NA PAMBO LAKE
SIKIO LIWE NA HERENI
SHINGO IWE NA CHENI
JICHO LIWE NA WANJA
MDOMO UNG'AE KWA MAFUTA KIDOGO ....
PODA IPAKWE KWA USTADI
HAKIKISHA HUZIDISHI MAPAMBO
,PODA KWANI MARA NYINGINE HUCHUSHA.
MUME KITANDANI
UKIWA NA MUME KITANDANI
USIVAE HERENI WALA CHENI
USO UPAMBE KWA PODA KIASI NA WANJA
KIKUKU MGUUNI
SHANGA KIUNONI🌹👌🏼UDI NA KANGA
HAKIKISHA SIDILIA NA CHUPI UMEVAA USILALE UCHI...KWANI KITENDO CHA MUME KUIONA CHUPI IKIWA IMEKUKAA MWILINI MWAKO NI MUHIMU
.
NAFASI MPYA ZA KAZI KWA WENYE ELIMU KUANZIA DARASA LA SABA ,KIDATO CHA NNE,CERTIFICATE,DIPLOMA,DEGREE NA KUENDELEA ZIPATE KUPITIA AJIRA FORUM APP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment