ARSENAL IKIPATA OFA NONO YA AUBA INAFANYA BIASHARA
PIERRE Emerick Aubameyang msha
mbuliaji wa Arsenal alijiunga na washika bunduki msimu wa 2018 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.
Nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Gabon amekuwa na balaa uwanjani ambapo akiwa amecheza jumla ya mechi 97 kwenye mashindano yote kacheka na nyavu mara 61 ndani ya Arsenal.
Kumekuwa na presha kubwa kwa Arsenal juu ya kubaki na nyota huyo ambaye amesema kuwa anasubiri kuona nini kitatokea kwake kuhusu Arsenal.
Inatajwa kuwa Manchester United na Barcelona zinahitaji huduma za Auba ili akaonyeshe makeke yake ya Wakada.
Mabosi zake Arsenal inaelezwa pia hawana hiyana iwapo kutakuwa na ofa nzuri wanaweza kufanya biashara.

Previous article
Next article
Leave Comments
Post a Comment