KOCHA MRUNDI AVUTIWA NA BEKI MATATA WA SIMBA

SHOMARI Kapombe, beki wa
Simba ni miongoni mwa wachezaji anaowakubali Kocha Mkuu wa Namungo, Hitimana Thiery raia wa Burundi.
Kapombe amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ndani ya Simba ambao ni vinara wakiwa na pointi 71 kibindoni.
Amehusika kwenye mabao matano kati ya 63 yaliyofungwa na Simba ambapo kazi yake ilikuwa ni kumwaga maji kutoka pembeni ya Uwanja na guu lake la kulia.
"Kwa nafasi yake yupo vizuri anajua kulinda na kuanzisha mashambulizi pia ni aina ya mabeki wanaojituma muda wote," amesema.

Previous article
Next article

Leave Comments
Post a Comment